"MUNGU NDIO ANAJUA SIRI YA MAFANIKIO YANGU".......DIAMOND
Akiwa Katika Interview ya TV huko
Nigeria Diamond aliulizwa kwanini yeye ndio Msanii anayeuza Nyimbo za
Miito ya Simu Kuliko Wanamuziki Wote East Africa ..Na hivi ndivyo
Alivyojibu... "Sijui Mungu Ndio Anajua Siri iliyoko"