Msanii
maarufu nchini Congo Fally Ipupa amenusulika kufa baada ya kupata ajali
mbaya ya gari majira ya usiku wa tarehe 7/1/2014, Hakuna mtu aliyekufa
kwenye ajali hiyo ila kuna mama ambae unamuona kwenye picha hapo chini
aliumia vibaya sana na kukimbizwa hoptitali ambapo anapata matibabu
mpaka sasa
Picha na Voice of Congo