Kampuni moja ya kitaliii kutoka nchini China imesema kuwa itawashtaki
watengenezaji wa filamu mpya ya Transformers kwa kuvunja mkataba.
Kampuni ya Chongqing Wulong Karst Tourism Co Ltd imesema katika taarifa
yake kuwa watengenezaji wa filamu hiyo wameshindwa kuonyesha lebo yao
vizuri katika filamu hiyo kama walivyoahidi.
Wanasema itafungua kesi dhidi ya kampuni ya Paramount Pictures na moja ya washirika wake kampuni kutoka China.
Paramount bado haijasema chochote mpaka sasa kuhusiana na madai hayo
Ni
halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari
kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga
na mimi kwa kubonyeza