"Tatizo watu mmezoa ku cram sana kwamba
kila anaeenda katika harusi aende na suit, Nchi nyingine hawapo hivyo
kama ukiona hao waliopo na Diamond hapo chini hakuna aliepigiliaa
kihivyo yaani unatakiwa uwe simple but elegant,, besides ilikuwa ni ndoa
ya kimila so kupigiliamo suit haihusu,,
daah mnavyokosoa as if mnajua sana
fashion, to me Diamond was on point na ameonekana mbunifu, maana
hajatuendea na suit pale, me nadhani alisoma kwanza mazingira ndio
akatupiamo kitu chake,,, its all about fashion sio mna cram
wamaaa Diamond ulitokelezea na kuwa so different kwenye ukweli lazima nasimama na ukweli....." Sintah