HIVI SASA UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA HUKU ENEO LA TUKIO LIKIWA LIMEZIBWA
NA TURUBALI UCHUNGUZI UKIENDELEA KUFANYWA. ENEO HILO BADO LIMEJAA WATU
AMBAO HAWAAMINI KILICHOTOKEA JANA NA KUENDELEA KULALAMA. HABARI ZAIDI
ZITAKUJIA.
Photo Credits: ALBERT BALATI