Wakazi
wa eneo la Magomeni zilipovunjwa nyumba za kota jijini Dar es salaam
wakishuhudia mtoto mchanga anayekadiliwa kuwa umri wa siku moja akiwa
kwenye mfuko na kutupwa na mtu asiejulikana.
Askari
Polisi wa kituo cha Magomeni Usalama wakiwa katika eneo hilo ambalo
alitupwa mtoto mchanga akiwa amekufa kwa ajili ya kumchukua kumpeleka
sehemu husika
Mwili wa Mtoto huyo ukiwa ndani ya gari la Polisi tayari kwa safari ya kwenye sehemu husika.
Wakazi wa maeneo ya jirani na hapo na wale wapita njia wakiwa katika eneo la tukuo