Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini Radhia Msuya.
Balozi wa Tanzania Africa ya Kusini kwenye picha hapo juu ametoa pole
kwa familia,wasanii na wadau wote kwa kupotelewa na kijana ambaye bado
watu walikuwa wanamuhitaji.Amesema kuwa mwili wa marehemu Ngwair
umechelewa kufika Tanzania kutokana na post mortem na taratibu za kupata
kibali cha kusafirisha mwili huo kutoka Serikali ya Africa ya
Kusini.Radhia alisema kuwa kama taratibu zote zitaenda sawa mwili huo
utawasili siku ya Jumanne Tanzania.MSIKILIZE hapo chini;