Steve Mangere ‘Steve Nyerere’.
Akizungumza na MDADISI wetu, Steve alisema kuwa mkono huo umevimba ghafla
hali inayompa wasiwasi mkubwa kwa sababu hajajua chanzo chake ndiyo
maana anahisi kuwa atakuwa amepigwa ‘kipapai’.“Mimi nakwambia nitakuwa nimerogwa tu si bure, huu mkono umevimba bila sababu za msingi kwani sijaanguka wala kuumia,’’ alisema Steve