OMMY DIMPOZ APIGWA CHUPA NA MASHABIKI AKIWA JUKWAANI HUKO DODOMA
Kuna
tetesi kuwa Ommy dimpoz amepigwa mawe jukwaaani dodoma na
kushindwa kufanya show ya kilimanjaro music award dodoma.
Wadau
toka Dodoma
wasema msanii yoyote atakaye mdiss msanii wa dodoma hawatamruhusu
kufanya show Dodoma na watamshusha jukwaani kama walivyo fanya leo
kwa Ommy