SHOW YANGU ITAFANYIKA LAKINI LANGA ATAPEWA NAFASI YAKE MAALUMU
Ikiwa ni masaa kadhaa tu yamebaki kwa shoo ya Lady
Jay Dee kufanyika,mwenyekiti wa Team Anaconda amefunguka na kusema "show itafanyika kama
ilivyopangwa ila tutakuwa na tukio la kumuenzi Langa kwa mchango wake kwenye
muziki huu wa tanzania hivyo mashabiki wafike kwa wingi pale pale nyumbani
lounge ratiba ipo vilevile"