Leaders
club maandalizi ya mwisho kabisa kwa ajili ya kwenda airport kuupokea
mwili wa marehemu mangwea ambao utaingia leo saa 7 na ndege ya kisha
kupelekwa moja kwa moja katika hospital ya taifa ya muhimbili kwa ajili
ya kuifadhiwa mpaka kesho saa 2 maiti itafika katika viwanja vya leaders
club na saa4 shughuli za kuaga mwili wamarehemu zitafanyika mpaka saa 7
ndiotmwili utasafirishwa kwenda morogoro na utalala kwenye nyumba yao
na kesho yake siku ya alhamis ndio marehemu albert mangwea utaagwa tena
na kuzikwa huko huko morogoro na hii ndio safari ya mwisho ya msanii
albert mangwea mungu alaze roho ya marehemu albert magwea mahala pema
peponi.amin