Pengine umewahi kusisimka mwili kwa kusoma habari ama kuhadithiwa taarifa za watu kufanyiwa ukatili wa kupigwa, kutobolewa macho, kung'olewa kucha, kupigwa viwiko vya viungo vya mwili na pengine maumivu makali kuliko yote, ni yale ya jino, halafu ling'olewe bila ya kutumia dawa ya aina yoyote ile ya ganzi.
Jaribu kuvuta taswira ya watanzania waliowahi tekwa na kunyofolewa macho na meno.
VIDEO: