Search in This Blog

WAPENZI WAAMUA KIJINYONGA HADI KUFA BAADA YA WAZAZI KUKATAA WASIOANE


Mkasa huu umetokea huko Congo ..Wapenzi hawa wawili waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo..Baada ya jitihada zao za kuwashawishi kushindikana basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya kujinyonga....Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya watoto
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger