MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA UKIWA KATIKA JENEZA TAYARI KWA WATU MBALIMBALI KUAGA KATIKA VIWANJA VYA LEAD
ERS, KABLA YA KUANZA SAFARI YA KWENDA MKOANI MOROGORO KWA AJILI YA MAZISHI KESHO SIKU YA ALHAMISI.
Umati
wa watu wakiwa wamepanga mstari tayari kwa kwenda kuaga huku kikosi cha
msalaba mwekundu na polisi kikiwa stand by just incase anything
happens. Sasa naskia watu badala ya kwenda na kuaga wao wako busy
wanapiga picha kha hizi teknolojia aiseee tutajutaaaa
Baadhi ya ma super star wa bongo wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuaga