Search in This Blog

BASI LA AL SAEDY LAPATA AJALI JANA USIKU MAENEO YA CHALINZE MKOANI DODOMA

 Lori la mizigo lililogongana uso kwa uso na basi la Al - Saedy lililokuwa likitoka Dar Es salaam kuelekea Mkoani Dodoma jana usiku linavyofanana baada ya kugongana na basi hilo uso kwa uso
 Basi la Al Saedy linavyoonekana mara baada ya kugongana na lori la Mizigo Maeneo ya Chalinze Mkoani Dodoma Jana Usiku mpaka naondoka eneo la tukio idadi kamili ya waliopoteza maisha na kujeruhiwa bado haijafahamika
Basi la Al Saedy linavyoonekana mara baada ya kugongana na lori la Mizigo Uso Kwa Uso jana usiku eneo la Chalinze Mkoani Dodoma idadi ya Waliopoteza maisha wala Kujeruhiwa bado haijajulikana

Jana Majira ya Saa Nne usiku Basi la Al Saedy linalofanya safari zake kati ya Dar Es Salaam na Dodoma lilipata ajali mbaya kwa kugongana uso kwa uso na lori la mizigo maeneo ya Chalinze Mkoani Dodoma , Ajali hiyo ilihusisha Basi hilo la Al Saedy na lori la mizigo lililokuwa likitokTunaondoka eneo la tukio idadi kamili ya waliopoteza maisha wala kujeruhiwa bado haijafahamika.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger