Penny au sukari ya Diamond |
Yule mwanadada anayewapandisha presha
wadada wa mujini Penny mungilwa ama ukipenda muite sukari ya Diamond
amechonga na thesuperstarstz nakueleza mengi kuhusu sukari wake huyo
ambaye kwa sasa yupo nchini malaysia katika bonge la show.
Penny
ambaye pia ni mtangazaji wa Tv hapa nchini tanzania amesema kwake hakuna
wakati mgumu anaoupata kama Diamond akisafiri penny aliielezea
thesupestarstz kuwa anaumia sana kumkosa sukari wake huyo na mara nyingi
hujikuta akiugua kabisa kama diamond akimtajia safari.
Penny
ameyasema hayo wakati diamond
akiwa nchini malaysia kikazi alikokwenda kupiga bonge la show nchini
humo na kumuacha penny ndani ya bongo....Kiukweli hakuna wakati mgumu na
huwa naumwa kama diamond akisafiri yaani huwez amini nimemzoea sana
bby wangu jamani alisema penny
Muandishi
wetu alimdadisi kutaka kujua kwanini aumwe au hamtakii mwenzie
mafanikio maana mtu kama diamond anaposafiri kikazi ujue ndio anaingiza
mkwanja na pia anajitangaza yeye na nchi yetu kiujumla ambapo panny
alianza kwa kuna kuwa hamtakii mafanikio nakuongeza kuwa..No
nafurahi d anaposafiri na ninamtakia mafanikio mema ila nataka ujue hii
nikutokana na jinsi tulivyoshibana na kuzoeana na sio mimi pekee yangu
hata yeye nikisafiri hapati usingizi kucha ni simu hadi kunakucha alisema mwanadada huyo
Penny mapozi |
Hapo ni kama alimchokoza mwandishi wetu
nakujikuta akitaka kujua kama huwa kuna wakati wanasafiri wote au
lah!!,,Mbona mara nyingi tu alijibu kifupi na ndipo nilipomuuliza
kwanini hali hiyo inamtokea akasema.... Unajua
mimi na Nassebu tumekuwa kama mapacha sasa mmoja akienda mbali na
mwenzie basi aliyebaki huwa kama mgonjwa na ndio maana diamond akiwa
mbali na mimi utakuta tunaongea na simu hadi mimi na mzuia maana
hatulali sasa na hii ni ili kunifanya nione tupo wote kiukweli
tumezoeana sana aliendelea kusema penny
Hilo bango hapo juu ndio kazi
liyompeleka Diamond huko Malaysia ambapoa kwa mujibu wake ni kwamba
atahakikisha anaacha jina huko kama kawaida yake.