Kijana huyu ambaye hatukufanikiwa kupata jina lake, leo majira ya saa saba kasoro katika maeneo ya Dodoma Inn karibia na msikiti wa swali kabla hujasaliwa, kibaka huyu alidabwa na wananchi wenye hasira kali na kupatiwa kipigo kitakatifu baada ya kujaribu kuiba kwenye nyumba iliyoko karibia na msikitini huo na kutokufanikiwa, kibaka huyu alifanikiwa kuingia ndani ya nyumba hiyo na kushtukiwa kabla hajaanza kuiba na papo hapo kuanza kuchezea kuchapo: |
|