MANENO YA DIAMOND BAADA YA PICHA ZAKE NA WEMA KUZAGAA, SOMA ALICHOKIANDIKA
So baada ya picha kusambaa kwenye
internet zikimuinyesha Diamond na Wema Sepetu wakiwa pamoja, Diamond
amepost hii picha na kuandika “Katika moja ya muvie ambazo naimani
itakuwa ni Gumzo,Mfano na Bora toka Tanzania basi ni hii…#Tempations
Stay Tunes..Location Somewhere