NEY WA MITEGO AWA JAJI BONGO STAR SEARCH (BSS)
Pamoja na Ney wa Mitego Kuiponda Bongo Star Search na
Kuuliza kama kweli washindi wanapewa zawadi huku akiwaponda kuwa
wamechoka...Madam Rita Ameibuka na Kumpa Ujaji Ney katika shindano hilo
...Ataaza kuonekana Wiki Ijayo ,,Big up najua hii Itawavuta watu wengu
kutazama show hiyo....