Wizi
haukubaliki popote duniani haijalishi nini kitaibiwa .Hiki ni kama
kituko cha mwaka baada ya hawa kushikana mashati kwa wizi wa mtu
walipigana masaa manane huku wakiacha wazi baadhi ya sehemu za miili yao. Hii ilitokea baada ya mdada mmoja kumfumia mgoni wake akiwa na mume wake na hivyo kushindwa kujizuia na hatimae ngumi zikaanza.
KUWA MAKINI NA MKE AU MUME WA MTU, TAFUTA WAKWAKO