Makamu wa Rais, Dkt. Gharib Bilal (katikati) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia.
Proffesa Shivji akitia saini yake katika kitabu cha rambirambi katika msiba huo.
HUKU mwili wa marehemu Dr. Mvungi ukitarajiwa kuingia leo, watu wengi
hasa viongozi wanaendelea kumiminika nyumbani kwa marehemu na kutoa
salamu za rambirambi kwa familia.-GPL