Search in This Blog

KAMANDA KOVA AMTETE KAPUYA KWA KUSEMA HANA KOSA LA KUJIBU, HAYO NI MAMBO YAKE BINAFSI"...


Akiongea na wanahabari leo mchana kamanda kova kasema hawawezi kumuita Mhe. Kapuya kasababu haya ni mambo yake binafsi na hakuna mtu yeyote ambaye amakuja hapa polisi kulalamika kutendewa vibaya na Mhe. Kapuya.

"hata hivyo kamanda kova kasema kama kuna ushahidi wowote wa kueleweka sio kusingizia mtu vituo vya polisi viko wazi masaa 24"
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger