Mauaji hayo yalitokea juzi nje ya nyumba ya wanafamilia waliokumbwa na dhahama hiyo iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam. Katika mauaji hayo, Gabriel alidaiwa kumuua kwa risasi shemejiye aliyejulikana kwa jina la Alfa Nando, kumjeruhi mchumba wake, Christina Nando, mama mkwe wake (mama wa Christina), dereva wa familia aitwaye Francis kisha kujimaliza mwenyewe.
-GPL