Aliyekuwa
Miss Tanzania 1999, ambaye pia ni Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano
wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Hoyce Temu akipozi mara baada ya
kulamba Nondozzz ya shahada ya Uzamili wa Mawasiliano ya Umma katika
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine jijini Mwanza.