Kama
baada ya dakika 10 alitokea kijana mmoja na kukiri kuwa ndiye
aliyekuwa akistarehe nae, alieleza hali halisi na kusema kabla ya
kuanza kunywa pombe kijana mwenzake alipata mlo wa nguvu tuu kisha ndo
wakaanza kushusha mbili tatu. Alisema wakati wakuondoka alimkabidhi kwa
dereva bajaji mmoja ila hakufanikiwa kupanda ile Bajaj na kukuta
amedondoka.
Kijana huyo pia alisema kuwa kijana mwenzake alikuwa ni mwenyeji wa Mwanza na alikuja Dar es Salaam maalumkwa ajili ya kujirusha na nayeye na ndipo akakutwa na huo mkasa.
Kijana huyo pia alisema kuwa kijana mwenzake alikuwa ni mwenyeji wa Mwanza na alikuja Dar es Salaam maalumkwa ajili ya kujirusha na nayeye na ndipo akakutwa na huo mkasa.
Rafiki yake na kijana aliyendondoka(mwenye t-shirt nyeupe kushoto) akijaribu kuwasiliana na ndugu wa mwenzake.
*Wadau tujifunze kunywa pombe bila kupita kiasi maana ni hatari*