Mbunge
na mwanasheria wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akilia
machozi ya ajabu baaada ya purukushani yiliyosababishwa na makundi
yaliyokuwa yakipingana...Wanaomuunga mkono na wasiomuunga mkono Mh Zitto
Kabwe...!Anayebembeleza ni mbunge wa viti maalumu CHADEMA Mh. Jocya
Mukya...HATARI SANA...
IMEKAAJE HII...TOA MAONI YAKO HAPO CHINI |