Wananchi
wenye hasira kali Kiwalani wakitoa kipigo cha Mbwa Mwizi kwa Vijana
wawili wanaosadikiwa kuwa ni vibaka, wanaosumbua mitaani kwa kuiba na
kukwapua, Vibaka hao wanajiita watoto wa Mbwa jumla ya idadi yao ni 40
ambapo mpaka sasa Vibaka 6 wameshauliwa na wananchi wa Kiwalani.
Hadi
mdau wa habari hizi anaondoka eneo la tukio aliwaacha vijana hao
wameshaaga dunia kufuatia kipindo kikali kilichoambatana na Mawe,
matofali, mashoka, Nondo na vifaa vingine vyenye ncha kali.
Vibaka hao wakiwa wanachuruzika damu kutokana na kipigo kikali.