WANANCHI WENYE HASIRA WALICHOMA MOTO BASI LA MTEI HUKO SINGIDA, KISA KIZIMA SOMA HAPA KUJUA
Basi la mtei lachomwa moto na wananchi wenye hasira huko singida
Wananchi wenye hasira wameteketeza kwa kuchoma moto basi la Mtei
Express linalosafiri kati ya Singida - Arusha - Singida baada ya kugonga
pikipiki na kuua watoto watatu hivi punde