Asubuhi
ya July 18 kutoka Moshi zilitoka taarifa za mfanyakazi wa ndani wa
kiume [Houseboy] kumpasua kichwa mtoto mdogo wa darasa la 3 kisha ubongo
wake kuamua kuutafuna.
Baada
ya kumaliza tukio hilo kilichofuata ni yeye kujikata sehemu zake za
siri,Hapa utawasikiliza mashuhuda wa tukio hili pamoja na kamanda wa
polisi mkoa wa Kilimanjaro.
Bonyeza play kusikiliza.