Mtoto amabae inasemekana alitupwa chooni na mama huyo mwenye umri wa
miaka 22 raia wa China amefanikiwa kuwa hai baada ya juhudi za hali ya
juu zilizofanywa na madaktari kwa kuchana bomba la choo pasina kumkata
mtoto huyo a,mbae inasemekana alikaa kwenye bomba hilo zaidi ya lisaa
limoja.
Ama serikali ya China imesema itamfungulia mashtaka ya kesi ya mauaji mwanamke huyo.