Kijana
Aliye tishia kumua Rais Barack Obama kwenye twitter mwaka 2012 Donte
Jamar Sims amehukumiwa kwenda jela miezi 6 baada ya kukubali kosa la
kutishia maisha ya rais. Donte amekubali kuwa alitumia ukurasa wake wa
twitter chini ya jina la Destroy League_D kuandika tishio hilo,
Aliandika Hivi kwenye twitter "Ima Assassinate president Obama this
evening!" and "The Secret Service
is gonna be defenseless once I aim the Assault Rifle at Barack's
Forehead." Kijana huyo mwenye miaka 22 amesema sababu ya kufanya tendo
huli ni kwamba alikuwa amelewa sana mihadarati aina ya Marijuana na
baada yakuandika hivyo aliomba msamaha.