Khadija Omar Kopa akiwa na mumewe Jaffari Ally enzi za uhai wake.
Mume wa Malkia wa Mipasho
Afrika Mashariki, Khadija Omar Kopa, aitwaye Jaffari Ally amefariki
dunia usiku wa kuamkia leo. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na matatizo
katika mfumo wa upumuaji na mpaka mauti yanamfika alikuwa amelazwa
katika hospitali ya wilaya Bagamoyo. Mungu ailaze roho ya marehemu
mahali pema peponi. AMIN.