VIDEO: "UMASIKINI WA AKILI YA VIONGOZI NDIYO SABABU INAYOWAFANYA WAINGIE MIKATABA MIBOVU"...REGINALD MENGI
Viongozi wa afrika wanastahili kulaumiwa
kutokana na rushwa na uhamishwaji haramu wa mitaji unaofanywa na
makampuni ya kimataifa, asema mkurugenzi mtendanji wa IPP, Bw. Reginald
Mengi