Nilikua narudi mjini nikitokea Kigamboni kupumzisha akili. Sasa nikapita
pale opposite na iFM kucheki kama Mwana FA kala shavu.
FA katia huruma sana. Yaani mlangoni kulikuwa na wanafunzi wachache wa IFM ambao
walikua wakiingia kwa bei ya kandambili.
Jamaa wa mlangoni walikua wakiwabembeleza watu
wachukue tickets japo kwa 10,000/= lakini madent wa IFM walikomaa mpaka
kwa 5,000/- kwamba boom limekata...
Mdau
Mdau
PICHA ZA SHOW YA MWANA FA
Dully Sykes Na Mwana FA Katika Usiku Wa The Finest Kama Zamani @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.
Mwana FA On Stage @ Makumbusho Ya Taifa "The Finest" Kama Zamani.
Linah, Mwana FA Na Maua On Stage @ Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam.
Wahudhuriaji wa "The Finest" Kama Zamani wakiwa wanaenjoy burudani classic kutoka kwa Mwana FA.
Asma
Makau, Jojo, Shadee & A Friend Wakiwa Nje Ya Ukumbi Wa Makumbusho
Ya Taifa Dar Es Salaam Wakiingia ndani kwa ajili ya "The Finest" Kama
Zamani Ijumaa 14/6/2013.
Vanessa Mdee na Dozen katika viwanja vya Makumbusho Ya Taifa Dar Es Salaam kabla ya "The Finest" Kama Zamani Show.