Masele cha pombe jana mchana zilisambaa habari kwamba amepata ajali ya
gari la amefariki dunia. Jibu sio kweli na ishu nzima ni kwamba alipata
ajali akiwa barabara ya 14 Tanga baada ya kumgonga mtu mmoja. Akiwa
katika harakati za kupaki gari na kushuka, wananchi walianza kumshambuli
kwa mawe ndipo hapo Masele alipojaribu kuokoa maisha yake kwa kuwasha
gari na kuanza kukimbia, bahati mbaya baada ya hapo akamgonga mtu
mwingine bahati mbaya ndipo watu wakalikuta gari lake na kuanza kulipoga
mawe na wengine kuchoma visu matairi ya gali hilo. Chanzo
kilichotutumia habari hii kinaendelea kusema kwamba hadi Masele mwenyewe
ameibiwa hela zake pamoja na simu yake ya mkononi. Lakini hivi sasa
yupo mzima kabisa
Picha zaidi hapa