MSANII Huyu aliekonga nafsi za wengi na kujizolea Furushi la mashabiki kwa kuimba staili ya kulewalewa Anatambulika kwa Jina la ''JONI WOKA'' Sasa aamua kunyoa Rasta na kubalidili muonekano, Baada ya kufanya mahojiano mafupi na mwandishi wa mdadisimambo.blogspot.com aliulizwa
kuhusu mziki akasema Yupo kwenye maandalizi makubwa na kwa leo hawezi
kusema chochote kuhusu mziki. Sasa Hebu angalia maoni yalivyoporomoka
hapo kwenye picha hii hapa chini, Hio ni katika ukurasa wake wa
Facebook.