Hatimaye msanii mchekeshaji machachari kutoka Swahili Wood''khadji Salum
almarufu kama Mboto'' Aingia mkataba na Kampuni ya ''LEOMEDIA''
inayoshughulika na usambazaji filamu nchini, Mnamo tarehe 20/JUNY 2013
siku ya
alhamisi Msanii huyo alisainishwa mkataba wa mwaka mmoja.Akihojiwa na
mwandishi alisema amemsainisha mkataba wa mwaka mmoja
msanii huyo kwa lengo na dhumuni la kufanya kazi zenye mchanganyiko wa
ladha tofauti tofauti za wasanii wenye vipaji.
MSANII ''Mboto'' akijiandaa kudondosha Sign hapo! Kulia ni Production
manager wa kampuni ya LEO MEDIA ''geofrey kusila''Ambaye pia ni muigizaji
wa filamu kama anavyoonekana katika kava hapo chini ambalo ni moja ya
kazi alizosambaza kupitia kampuni yake.
Mahojiano yalifanyika kupitia ujumbe mfupi wa simu ya kiganjani kama tunavyoona hapa chini