The same ndinga ambayo walitupia kibendera cha logo ya kampuni ya Wema Sepetu “Endless Fame” wakiwa kwenye safari ya kuelekea Dodoma kwenye launching ya new season ya Clouds FM.
Siku chache zilizopita lipata ajali mbaya na mtu aliyekuwa ndani yake
alipata majeraha kadhaa..gali hilo ambalo mara nyingi linatumiwa na PetitMan coordinator wa Endless Fame lakini siku ya ajali hakuwepo ndani yake na aliyekuwa anaendesha ni jamaa anaitwa Robby. Cheki hapo chini picha ya kwanza ikimuonyesha Wema pembeni ya hilo gali na hapo chini baada ya kupata ajali.
Picha zaidi hapa