Siku
ya leo jumapili ndio ilikuwa siku husika kabisa katika kutoa heshima za
mwisho kwa Bi Mariamu Arubeth aliezaliwa 4/12/1967 na kufariki tarehe
22/6/2013.Zifuatazo ni picha za Mazishi Ya Mama mzazi wa Barnaba kuanzia nyumbani hadi makaburini.
Mama Diamond |