SUGU AVURUGWA: AMWITA WAZIRI MKUUU MIZENGO PINDA "MPUMBAVU".
Hichi ndio alichoandika leo kwenye ukurasa wake wa Facebook.
"Tanzania haijapata kuwa na waziri mkuu mpumbavu kama mizengo
pinda...alichoki fanya ni kutangaza rasmi vita kati ya serikali ya ccm na
raia wa Tanzania !