Msanii T.I.D naye ameingilia kati tuhuma za Ommy Dimpoz
kumtukana marehemu Albert “Ngwair” kwa kuahidi kumdunda popote atakapomuon....
Hiki ndicho alichosema msanii TID kwenye ukurasa wake ea
facebook kuhusu hilo.
“Hawa watoto wadogo wanakuja na kandambili kuomba kuimba sasa hivi
wanajifanya wao wanazo hela sana na kututusi sisi especially mkali wangu
Albert wallahi mungu atamlaani………mshenzi mkubwa na nikikuona nakupiga.”