NAMNA DAMU ILIVYOMWAGIKA KENYA JIONI HII YA LEO, JESHI LA WANANCHI LAINGILIA KATI.
TUKIO hili la uvamizi limetokea huko Westlands Nairobi nch
ini Kenya, Ni sehemu inayoishi wakenya wenye asili ya kihindi, mall inaitwa westagate.
Hatimaye Jeshi la kenya laingilia kati.