Mwiinjilisti mwanamke kutoka nchini Nigeria ambaye ana kibali cha kazi ya uinjilisti katika huduma ya Life Changer Chapel iliyoko Sinza jijini Dares Salaam , Blessing Dangana, anayedaiwa kuwatunza raia wa Nigeria watano ambao wanatoa huduma hiyo bila kibali maalum akitoka nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu mara baada ya kufikishwa mahakamani hapo leo.
baadhi ya raia wa Nigeria wanaodaiwa kutunzwa Mwinjilisti mwanamke mwenye kibali cha kazi hiyo Blessing Dangana katika huduma ya Life Changer Chapel iliyoko Sinza jijini Dares Salaam , wakitoka nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu mara baada ya kufikishwa mahakamani hapo huku wengine wa kijificha sura zao
Baadhi ya vijana wanaodai kuwa wanatoka mkoa wa Kigoma wakiwa wajaza fomu leo ambao taarifa zao zinaendelea kuchunguzwa kama kweli ni Watanzania wakiwa katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Dares Salaam.
Gari la Idara ya Uhamiaji likiwa limebeba baadhi ya raia wa Nigeria wanaodaiwa kutunzwa Mwinjilisti mwanamke mwenye mwenye kibali cha kazi hiyo Blessing Dangana katika huduma ya Life Changer Chapel iliyoko Sinza jijini Dares Salaam hao mara baada ya kutoka mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu jijini