Harakati za
ukarabati wa bomba lililopasuka ukiendelea kwa kasi usiku wa kuamkia leo eneo la Buma Wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani
Naibu Waziri
wa Maji, Dk. Binilith Mahenge (kushoto) akifuatilia kwa makini kazi ya
kutengeneza bomba liliopasuka, pamoja na Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Archad
Mutalemwa usiku wa kuamkia leo
Kazi ikendelea kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kabla jua halijachomoza