RAY C ARUDI KWA KASI KWENYE GEMU LA MUZIKI....HILI NDIO GARI JIPYA ALILONUNUA.
STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila‘Ray C’ ameamua kuianika gari yake ambayo anatembelea kwa sasa ...
Gari hilo ni aina ya Jaguar ambalo namba zake za usajili hazionekani vizuri ila mwishoni zinasomeka T…CHL,huku akiandika kwenye instragram kuwa… Jaguar don't care...CHL means Chalamila Family.....