TAZAMA PICHA ZA BEHIND THE SCENE ZA FILAMU MPYA YA CLOUD112 INAYOITWA DR MAX HIZI HAPA;
Kwanza sina budi kumshkuru M/mungu muumba wa kila kitu, kwa kutueka wazima mpaka muda huu mimi wewe pamoja na wengine, Pili niwashkuru sana nyinyi Fans wangu kwa kuendelea kuniunga mkono katika kazi zangu takriban zote ninazozitoa, kwasababu nyinyi ndio mnaonifanya nitengenezeFilamunzuri kila siku, Sasa baada ya kufanya vizur kwa Filamu yaSHAHADAkwa msaada wenu. Ndugu yenu nimeingiakambini,na sasa natengeza Filamu nyengne kwa ajili yenu, filamu hiyo inaitwaDR MAX, kwa ushirikiano wenu nina imaniDR MAXitakuja kuleta mapinduzi makubwa ya Filamu Tanzania, hii niDAY 1ambayo nimeamua kukuekeni picha za kinachofanyika na pia tutaendelea kupeana picha mpaka siku tutakayo maliza kwa mtindo wa day 1, day 2 mpaka tutakapo maliza tuombe uzima tuu; PICHA ZADR MAXbehind the sceneDAY 1ni hizi zifuatazo:-