Search in This Blog

UKIWA MAARUFU OGOPA SANA MADEMU WA UINGEREZA, SOMA HAPA WALICHOWAHI KUMFANYIA USAIN BOLT.


Mkimbiaji mwenye mbio zaidi duniani, Usain Bolt amesema hapendi kuwa na msichana wa Uingereza sababu anaepuka kuandikwa na magazeti ya udaku ya nchi hiyo.
Akiongea na BBC Radio 5 Live, Bolt alisema: “Nimejifunza kutokana kwa wanawake wa Uingereza kuwa unatakiwa kuwa makini. Miaka iliyopita nilijikuta kwenye matatizo mara tatu kwa kupenda wasichana wa UIngereza.”
Bolt alitania: “Ghafla tu najiona kwenye gazeti, story yangu yote kwenye gazeti, hivyo nimekuwa makini na wasichana wa Uingereza, niko makini. Nakaa mbali na wanawake wa Uingereza.
 
Support : KARIBU TENA MDADISI MAM
Copyright © 2011. RISASI - Haki Zote Zimehifadhiwa.
KWA HISANI YA MDADISI MAMBO
Proudly powered by Blogger