Kijana huyu alichezea kipigo juzi katika stend ya mabasi ya mikoani jijini Arusha baada ya kuiba begi la msafili mmoja baada ya kuiba kibaka huyu alivaa nguo zote katika mwili ili asishitukiwe
Lakini walikuwepo waliomuona .Ndipo walimtaja kijana huyu baada ya kupokea kipigo kitakatifu ndipo alieza kuwa yeye ndiye alieiba begi hilo na alipoulizwa nguo zipo wapi aliwaambia kuwa amevaa mwilini ndipo hapo alipoamuliwa kuvua nguo hizo kwakuwa nilikuwa na safari na basi ndio lilikuwa linaondoka niliacha kijana huyu akiwa katika hatua za kupelekwa polisi
TAZAMA VIDEO HAPA