Mwanamke aliyenusurika kuuwawa kwa kuiba mtoto wa siku moja Musoma.
Hii imetokea musoma, mwanamke huyu alinusurika kuuawa na wananchi wenye hasira baada ya kudaiwa kuiba mtoto wa siku moja
Vituko vya Wanawake, Matukio ya Kuiba watoto. Wakati wanawake wengine wakitafuta watoto hadi kuiba bado kuna wengine wanaozaa na kutupa jalalani