WATU WATATU WA FAMILIA MOJA WAUAWA KWA KUNYONGWA NA KUCHINJWA HUKO BUHONGWA JIJINI MWANZA.
Akiongea
na ITV, mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai RCO Joseph Konyo
amesema kuwa baba wa familia hiyo aliyejulikana kwa jina la
Jonas Lulinga anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 44 ameuawa
kwa kuchinjwa na kisu huku mkewe na mtoto wao mchanga
wakiuawa kwa kunyongwa na waya wa umeme...
Tukio
hilo linadaiwa kutekelezwa majira ya saa nane usiku na mtu
mmoja ambaye walimkaribisha na kuishi nae kwa siku nne....
Binti mmoja aliyesalimika anasimulia tukio hilo kwa kina katika video iliyopachikwa hapo chini.